Francis Alitaka Barua Iliyopiga Marufuku Ekaristi Kwa Waprotestanti Kuwa "Siri"
Edward Pentin alidhibitisha ripoti kwamba Shirika la Mafundisho ya Imani limetupilia mbali pendekezo la Maaskofu Wajerumani kuwapa Waprotestanti Ekaristi [ingawaje hili ni jambo la kawaida nchini humo].
Aliyempa Pentin habari hizo aliongeza kuhusu suala hili, hakuna "tofauti" kati ya Askofu Mkuu Ladaria na mtangulizi wake Kadinali Gerhard Müller.
Pentin amegubdua kwamba "Papa anaitaka barua [inayopiga marufuku pendekezo hilo] ibaki kuwa siri kwa sababu zisizojulikana".
Picha: © European Parliament, CC BY-NC-ND, #newsNmaxqrapam
Sinodi La Amazon: Bikra Maria Alimwambia Mtakatifu Bridget Kwamba Papa Atakayetupilia Mbali useja, Ataenda Jahanamu.
Picha: © gloria.tv, CC BY-ND, #newsDgykwtpshg
Familia Ingalls - T01 - Episodio Piloto Parte 2
Familia Ingalls - Temporada 1 - Episodio Piloto Parte 2
Para ver en familia
Me Encanta este capítulo.
Papa anakufa, Maisha Marefu kwa Papa!
Papa anakufa, Maisha Marefu kwa Papa!
Katika hali ya kutokuwa na uhakika na huzuni, mwangaza wa mwisho wa maisha ya papa mmoja unaashiria uwasili wa haraka wa mwingine – kama alivyokumbuka Mtakatifu Yohani Paulo II katika nyakati zake za mwisho. Papa Bergoglio, ambaye amewekwa chini ya utawala unaoongozwa na kardinali wenye utata – baadhi yao kujitajia “antipapa” (Kardinali Martini) na wengine ambao wamekubali kuwa walikuwa wa kundi linalojulikana kama “mafya takatifu”, yaani Kikundi cha Sankt Gallen (Kardinali Danneels) – amekumbwa na hali mbaya kiasi kwamba uvumi kuhusu uwezekano wa kuaga kwake duniani umeanza kusambaa.
Wakati huo huo, Idara ya Mawasiliano ya Vatikani inaendelea kutoa taarifa zisizo kamili na zilizo na upendeleo. Je, lengo ni lipi? Labda ni kuwafanya waumini wabaki katika hali ya kutokuelewa, kulinda maslahi ya ndani, au tu kuhifadhi uhuru wa kuchukua hatua mbele ya uwezekano wa kuondoka kwa Bergoglio, labda kupitia kukatishwa kwa madarakani au kwa sababu ya …Zaidi
Marekebisho Ya Liturujia? Anza Kwa Kumtizama Mungu
Sadaka ya Misa na kila mtu akimtizamia Mungu itasaidia sana "kuonyesha kuwa Misa si tukio la kijamii kati ya makuhani na wnaparokia , ama wanaparokia wenyewe", Kardinali Raymond Burke alisema katika mahojiano na The Wanderer (Agosti 21).
Kulingana na Kardinali, mageuzi mengine yanahitaji kutendeka kuhusiana na utendekaji wa Kanisa, "Mahali kwingi madhabau yametolewa kutoka mahali patakatifu pa Kanisa kama matokeo ya tafsiri za uongo za Baraza ya pili ya Vatikani."
"Namna ya kupokea Ushirika Takatifu mtu akiwa amepiga goti moja na katika ulimi ni mahali muhimu pa kuanzia", Kardinali aliongeza.
Picha: Raymond Burke, © Saint Joseph, Flickr, CC BY-NC-ND, #newsZstbbaupxu
Knight Mwingereza Henry Sire Asimamishwa Na Shirika La Malta Kwa Kuandika The Dictator Pope.
Picha: © gloria.tv, CC BY-ND, #newsBzexmvhais
Familia Ingalls - T01 - Episodio Piloto Parte 1
Familia Ingalls - T01 - Episodio Piloto Parte 1
Para ver en familia
Homilia o. Z. J. Kijasa OFMConv....
zkijas.comIV Niedziela Wielkanocna 21.04.2024 Ewangelia (J 10, 11-18)
Ewangelia (J 10, 11-18)
Jezus jest dobrym pasterzem
Jezus powiedział:
«Ja jestem dobrym pasterzem. Dobry pasterz daje życie swoje za owce. Najemnik zaś i ten, kto nie jest pasterzem, którego owce nie są własnością, widząc nadchodzącego wilka, opuszcza owce i ucieka, a wilk je porywa i rozprasza; najemnik ucieka, dlatego że jest najemnikiem i nie zależy mu na owcach.
Ja jestem dobrym pasterzem i znam owce moje, a moje Mnie znają, podobnie jak Mnie zna Ojciec, a Ja znam Ojca. Życie moje oddaję za owce. Mam także inne owce, które nie są z tej zagrody. I te muszę przyprowadzić, i będą słuchać głosu mego, i nastanie jedna owczarnia, jeden pasterz.
Dlatego miłuje Mnie Ojciec, bo Ja życie moje oddaję, aby je znów odzyskać. Nikt Mi go nie zabiera, lecz Ja sam z siebie je oddaję. Mam moc je oddać i mam moc je znów odzyskać. Taki nakaz otrzymałem od mojego Ojca».
Obraz Boga jako pasterza swojego ludu był już szeroko obecny w Piśmie Świętym Starego Testamentu i pojawia się też w Nowym.
Dobroć …
Kadinali Marx Ana "Maridhiano Makuu" Na Imani Ya Kiprotestanti
Mnamo siku ya Jumamosi katika sherehe ya kiekumeni huko Bochum, nchini Ujerumani, Kadinali wa Munich Reinhard Marx aliwaomba Wakatoliki na Waprotestanti "kuzidisha umoja kati yao".
Kulingana na vyombo vya habari vya Ujerumani, Marx alisema, "ni lazima mwache kuongea kuhusu utengano wa Makanisa, kwani kuna maagano muhimu katika Imani." Kuna shaka ku iwapo Marx, ambaye ni mhuria mwanachama wa baraza la Makadinali la Papa Francis, bado anaelewa maana halisi ya Imani ya Kikatoliki.
Kanisa la Kiprotestanti la Ujerumani (Evangelische Kirche Deutschlands) aliyokuwa akiizungumzia Marx, hukweza itikadi za teolojia tegemezi, hupuuza mamlaka ya kiteolojia ya Biblia, hukweza ndoa za kishoga na wachungaji mashoga, hutetea uavyaji, haiamini katika Sakramenti saba, humkana Bikra Maria na hukweza uhamaji haramu.
Picha: Reinhard Marx, Bedford-Strohm, © Maik Meid, CC BY-SA, #newsAtfwidcbqx
Francis, "Maswali zaidi kuhusu hekima, unyenyekevu, mabadiliko ya hali ya anga, umaskini, uhamaji haramu au maridhiano?"
Picha: © gloria.tv, CC BY-ND, #newsXbwfxonsnd
Kardinali Mzungu Afurahia Mabadiliko Ya Ushoga Katika Jamii
Alipoulizwa kuhusu ubaguzi dhidi ya ushoga Kardinali Westminster Vincent Nichols alitangaza akiwa London kuwa anafurahia kuwa jamii imebadilika na kuanza kuupiga pambaja ushoga.
Kuhusu mustakabali wa Kanisa Nichols alisema: "Kwangu ni muhimu sana kuwa msukumo na mwelekeo wa Papa Francis uendelezwa."
Wakristu wa Uingereza huishi sana chini ya sheria za ushoga ambazo huwanyima uhuru wa kujieleza maoni yao na vile vile uhuru wa kiuchumi (kuoka keki za harusi, kukodi nyumba) kwa sababu ya kijulikanacho kama sheria dhidi ya ubaguzi na za matamshi ya chuki.
Picha: Vincent Nichols, © Mazur/catholicnews.org.uk, CC BY-NC-SA, #newsFxihaghfmz
Francis Alisema Mnamo Mwaka Wa 2016: Kuna "Uaminifu" Katika Wenzi Wanaoishi Pamoja Na Wamo Katika "Ndoa Halisi"
Picha: © gloria.tv, CC BY-ND, #newsPanpsvcqez